Imewekwa: March 1st, 2019
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa utekelezaji wa ahadi zilizowekwa na Rais zinaweza kufanywa na Mkurugenzi kwani ndio mtekeleza wa ilani ya Chama Tawala kwa ngazi ya Halmashauri. Am...
Imewekwa: February 5th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Telack amehimiza ukamilishaji wa Hospitali ya Mji wa Kahama kwa kuzingatia viwango vya Ubora. Ametoa kauli hiyo mapema leo alipokuwa kwenye ziara ya Kikazi Wilaya...
Imewekwa: January 30th, 2019
Ujumbe wa viongozi watano kutoka Bakhresa Group leo wamefika mji wa Kahama kwa lengo la kupata ardhi ya kuweza kujenga kiwanda cha soda na usindikaji wa matunda. Ujumbe huo umepokelewa na Mkuu wa Wila...