Imewekwa: October 13th, 2022
Wakulima Kahama Wameaswa kutumia vizuri mazao ya Chakula waliyoyapata kwenye mavuno ya Msimu uliopita kwani hali ya hewa kuelekea msimu mpya bado sio ya uhakika sana. Hayo yamesemwa na Afisa Kilimo Nd...
Imewekwa: October 12th, 2022
Tumepokea Bilioni 1.2 ikiwa ni kwaajili ya Maandalizi ya Kupokea Kidato cha Kwanza 2023, Fedha hizo zinakwenda kujenga Madarasa 60 kwenye shule 14 za Sekondari.
...