HUDUMA ZA AFYA
Idarainawajibikanakutoahudumazaafyakatikahospitali,vituovyaafyanaZahanati, Kwasasaidadiyavituovinavyotoahudumakamaifuatavyo:-
Na
|
AINA
|
SERIKALI
|
BINAFSI
|
MASHIRIKA YA DINI (FBO)
|
JUMLA
|
1
|
Hospitali
|
1
|
1
|
0
|
2
|
2
|
VituovyaAfya
|
1
|
1
|
2
|
4
|
3
|
Zahanati
|
11
|
15
|
2
|
28
|
HOSPITALI YA WILAYA
HospitaliyaMjiKahamanihospitaliyenyehadhiyaHospitaliyaWilayakimuundo. Inahudumiatakribaniwatu 1,200,162 waHalmashauriyaMjiwaKahamanapiaHalmashaurijiranizaMsalalana Ushetu nabaadhiyamaeneoyaGeita,Nzega,ShinyangavijijininaUlambo-Tabora.Idadiambayoinazidiwastaniwawagonjwa 350,000 inaotakiwakuhudumiakamaHospitaliyaWilaya. Hudumazinazopatikanahapanipamojanahudumaza:-
· Maabara
· Upatikanajiwadawakupitia pharmacy
· Vipimovya x-ray
· Upasuaji (Theatre)
· Mazoeziyaviungo (Physiotherapy)
· Chumbamaalum cha kuhifadhimaiti (Mortuary)
· Clinics mbalimbalizikiwemo
· Tibakwawagonjwawanaoishina VVU
· Afyaya mama namtoto
· Kisukari
· Ushaurinasahanakupima
· Magonjwaya kina mama
· Magonjwayanayoambukizwakwanjiayakujamiana
· Moyonashinikizo la damu
HOSPITALI YA MAGAI
HospitaliyaMagaiipokatika Kata yaKahamaMjinaniyabinafsi. Inahudumiatakribaniwatu 800 waHalmashauriyaMjiwaKahamanapiaHalmashaurijiranizaMsalalana Ushetu nabaadhiyamaeneoyaGeita,Nzega,ShinyangavijijininaUlambo-Tabora. Hudumazinazopatikanahapanipamojanahudumaza:-
· UpasuajiMdogo (minor theatre) napasuajiwakinamamawajawazitonawatotowachanga
· KlinikiyaKifuakikuu/Ukoma TB/HIV
· Kilinikiyakisukarinashinikizo la damu
· Kitengo cha macho
· Kitengo cha meno
· Kitengo cha maabara
· Kitengo cha madawa (Pharmacy)
· UshauriNasahanaUpimajiwaVirusivya UKIMWI (PITC)
VITUO VYA AFYA
Mwendakulimanikituokimoja cha Afya cha SerikalikatikaHalmashauriyaMjiKahama, kipoumbaliwakilometa 12 kutokaKahamamjinibarabarayaIsaka.Kinahudumiaidadiyawatu 8,846. Kituo cha afyaMwendakulimakinajumlayawatumishi 32 kwamchanganuoufuatao: Tabibu 4;Afisa Muuguzi Msaidizi2; Muuguzi 13,Mhudumu 5,Mteknolojia MsaidiziMaabara 2,Msaidizi waafya 1,Afisa Muuguzi 1,Daktari Msaidizi 2, MtechnologiawaMaabara 1, Mtekinologiawadawa 1 namlinzi 1 anayelipiwamshaharanaMgodiwadhahabuwa ACACIA.
Hudumazinazopatikana
Hudumakwawagonjwawanjezinatolewamasaa 24. AidhahudumazaWazazi, maabara, ushaurinasaha, tibakwawagonjwawaKifuakikuunaukoma, hudumayaAfyaya mama namtoto, chanjo, hudumazajamii namajumbani, vijana, hudumayakinywanameno, hudumayadawakwawaviupiahutolewa.
Kituo cha AfyaLowakipokata yaNyandekwaHalmashauriyaMjiKahama.Kituohikini cha shirika la Dini (FBO).
Hudumazinazopatikana
Hudumakwawagonjwawanjenimasaa 24. Hudumazawazazi, maabara, ushaurinasaha, tibakwawagonjwawaKifuakikuunaukoma. HudumayaAfyayamama namtoto, chanjo, hudumazajamiinazamajumbani, vijana, hudumayakinywanamenonaupasuajimdogopiahutolewakatikakituohiki
3. KITUO CHA AFYA MPERA.
Kituo cha AfyaMperakipokata yaIsageheHalmashauriyaMjiKahama.Kituohikini cha shirika la Dini (FBO).
Hudumazinazopatikana
Hudumakwawagonjwawanjenimasaa 24. Hudumazawazazi, maabara, ushaurinasaha, tibakwawagonjwawaKifuakikuunaukoma. HudumayaAfyayamama namtoto, chanjo, hudumazajamiinazamajumbani, vijana, hudumayakinywanamenonaupasuajimdogopiahutolewakatikakituohiki
3. KITUO CHA AFYA IGALILIMI.
Kituo cha AfyaIgalilimikipokata yaNyasubiHalmashauriyaMjiKahama.Kituohikini cha binafsi.
Hudumazinazopatikana
Hudumakwawagonjwawanjenimasaa 24. Hudumazawazazi, maabara, ushaurinasaha, tibakwawagonjwawaKifuakikuunaukoma. HudumayaAfyayamama namtoto, chanjo, hudumazajamiinazamajumbani, vijana, hudumayakinywanamenonaupasuajimdogopiahutolewakatikakituohiki
ZAHANATI ZA SERIKALI ZILIZOPO
NA
|
JINA
|
KATA
|
1
|
KAGONGWA
|
KAGONGWA
|
2
|
ISAGEHE
|
ISAGEHE
|
3
|
NGOGWA
|
NGOWA
|
4
|
SANGILWA
|
MONDO
|
5
|
KINAGA
|
KINAGA
|
6
|
KILAGO
|
KILAGO
|
7
|
IYENZE
|
IYENSE
|
8
|
MWIME
|
MWENDAKULIMA
|
9
|
SEEKE
|
ZONGOMELA
|
10
|
ZONGOMELA
|
ZONGOMELA
|
11
|
NYAMBULA
|
ZONGOMELA
|
HudumazinazotolewakatikavituovyaZahanatihizini:-
· Matibabuyamagonjwambalimbali
· Hudumayaafyayauzazi,nipamojanachanjo, makuzi , ujauzito, uzazisalama, uzaziwammpango
· Kufanyavipimombalimbali (maabara)
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa