• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Mifugo
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Usafirishaji
    • Sekta ya Utamaduni
    • Sekta ya Biashara
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Maliasili
    • Sekta ya Mawasiliano
    • Sekta ya Mazingira
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Usafi na Mazingira
    • Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
      • Sheria ndogo za mazingira
      • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Tozo za Leseni za Biashara
    • Fomu
    • Miongozo
    • JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari

Huduma Maendeleo ya Jamii

SHUGHULI ZILIZOTEKELEZWA NA IDARA YA MAENDEDLEO YA JAMII KWA KIPINDI CHA MWAKA 2017/2018

  • Kujenga jengo kwa ajili ya mama lishe lenye  thamani ya tsh 183, 225,355
  • Kuanzisha SACCOS ya vijana na kuipa mtaji wa Tsh 105,000,000
  • Kutoa mikopo yenyhe thamani ya Tsh  92,000,000 kwenye vikundi  29 vya wanawake
  • Kutoa mikopo yenye thamani ya Tsh 53,000,000 kwenye vikundi 18 vya vijana
  • Kukamilisha uundwaji wa baraza la wazee la Halmashauri
  • Kuratibu Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 ambapo Halmashauri ya MJI Kahama ilishika nafasi ya kwanza kitaifa
  • Kuratibu mafunzo ya utawala bora kwa watumishi ambapo jumla ya watumishi 248 wamepata mafunzo ya kuzuia na kupambana na rushwa
  • Kuhamasisha jamii kushiriki kwenye shughuli za maendeleo hususani ujenzi wa vyumba vya madarasa ambapo jumla ya vyumba  77  vya madarasa vinajengwa kwa nguvu za wananchi, vikiwepo 66 vya shue za msingi na 11 vya shule za Sekondari.
  • Kusimamia na kutekeleza wa agizo la serikali la Mkoa wangu viwanda vyangu kwa kuhamasisha uanzishwaji  wa viwanda ambapo hadi sasa Halmashauri ya Mji Kahama ina viwanda 351, vikiwepo viwanda vikubwa, vya kati na vidogo.
  • Kuhamasisha uundwaji wa kamati za ulinzi wa wanawake na watoto  kuanzia ngazi ya kata hadi ngazi ya Halmashauri

 SHUGHULI ZA KITENGO CHA USTAWI WA JAMII

  • Huduma za uasili wa watoto (Adoption)
  • Huduma za malezi ya kambo (foster Care)
  • Kusimamia makao 2 ya watoto (Orphanage Centre)
  • Kusimamia vituo vya malezi ya watoto mchana  16 (Day care centre)
  • Kushughulikia maombi ya vipimo vya vinasaba 4 (DNA) kwenda kwa mkemia Mkuu wa Serikali.
  • Kuzuia, kutoa huduma na kupambana na ukatili dhidi ya watoto {VAC} na ukatili wa kijinsia {GBV}
  • Kutoa huduma za kisaikolojia
  • Kushughulikia kesi za watoto walio katika ukinzani wa kisheria
  • Kutoa huduma kwa makundi maalumu ikiwemo watoto walio katika mazingira hatarishi {WWKMH} ,wanawake, walemavu na wazee
  • Kusuluhisha migogoro ya kifamilia, kuunganisha familia  na kuhakikisha watoto walio katika migogoro ya kifamilia wanapata huduma muhimu kama chakula,malazi, mavazi, matibabu na elimu.
  • Kutoa msamaha kwa wagonjwa wote wasio na uwezo
  • Kuhudumia wagonjwa wasio na uwezo au wasio na ndugu ili kupata matibabu hospitali.
  • Kutoa rufaa na kuwaunganisha  wahanga na huduma mbalimbali {huduma za kipolisi, matibabu, msaada wa kisheria n.k}

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • INGIA HAPA KUPATA SALARY SLIP YAKO December 12, 2017
  • Muhtasari wa Bajeti ya Halmashauri ya Mji wa Kahama 2018/2019 October 10, 2018
  • Mapato na Mtumizi kufikia Machi 31, 2019 April 15, 2019
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Kila la heri Darasa la Saba

    October 05, 2022
  • PICHA: Bonanza Kahama MC vs Mkalama DC

    September 24, 2022
  • Ofisi mpya ya Kata ya Busoka yazinduliwa, Wadau washiriki ujenzi

    September 23, 2022
  • KARAGWE DC ZIARANI KAHAMA

    September 20, 2022
  • Angalia zote

Video

Maagizo ya Katibu Mkuu Kiongozi kwa Watumishi wa Umma
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Picha Mbalimbali
  • Matukio Mbalimbali
  • Kupata Salary slip
  • Mapato na Matumizi Oktoba -Desemba 2017
  • Taarifa ya Miradi ya Mwaka 2016/2017
  • Zabuni mbalimbali
  • Taarifa kwa umma

Viunganishi vinavyohusiana

  • MFUMO WA KUWASILISHA MALALAMIKO
  • Ajira Serikalini
  • NECTA
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Tovuti ya Ikulu

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Barabara ya Boma, Kahama

    Anuani ya Posta: P.O.Box 472

    Simu: +255 282710032

    Simu: +255719679464

    Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa