• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Mifugo
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Usafirishaji
    • Sekta ya Utamaduni
    • Sekta ya Biashara
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Maliasili
    • Sekta ya Mawasiliano
    • Sekta ya Mazingira
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Usafi na Mazingira
    • Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
      • Sheria ndogo za mazingira
      • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Tozo za Leseni za Biashara
    • Fomu
    • Miongozo
    • JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari

TEHAMA

Kwa kuzingatia umuhimu wa TEHAMA na lengo la serikali la kuwa na serikali mtandao, Halmashauri ya Mji Kahama ni miongoni mwa taasisi za serikali ambazo zinafanya vizuri katika eneo la TEHAMA.Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Mji wa Kahama ni ya kuridhisha kwa sasa.

Shughuli/Majukumu ya Kitengo 

Kusimamia Mifumo yote tumizi katika Halmashauri

Kuweka na kusimamia miundo mbinu ya Mtandao Kiambo na intaneti

Kutoa msaada wa kiufundi kwa Watumiaji wa Miundo mbinu na vifaa vya TEHAMA

Kuandaa na kusimamia mifumo ya Usalama wa Kompyuta

Kusimamia utekelezaji wa shughuli kwa kutumia Serikali mtandaao

Kuandaa sera ya Matumizi ya taarifa za Kompyuta

Kusimamia Mifumo yote ya TEHAMA

Kuhakikisha  teknolojia ya matumizi ya mifumo ya Kompyuta inaendana na wakati na ukuaji wa Teknolojia.

Kuandaa na kufanya tafiti na kupendekeza matumizi ya TEHAMA katika  shughuli ili kuboresha utoaji huduma kwa Halmashauri.

Kufanya Maboresho katika mifumo yote tumizi ya Halmashauri.

Kuandaa kituo cha utunzaji wa kumbukumbu kwa ajili ya utunzaji taarifa za mifumo

Kusimamia na Kupitia vigezo vya mifumo na utoaji huduma

MAWASILIANO YA SIMU

Kampuni ya simu Tanzania (TTCL) ndiyo inayotoa huduma za mawasiliano  ya njia ya simu katika ofisi zote za serikali na mashirika  ya Serikali. Aidha  Makampuni mengine ya simu za mkononi kama vile Vodacom,Tigo, Airtel, Halotel naZantel yametawanyika vizuri hadi vijijini na hivyo kufanya mawasiliano kuwa rahisi zaidi. Uwepo wa Makampuni mbalimbali umewasaidia wananchi kupata taarifa mbalimbali za kijamii na kiuchumi.

VITUO VYA REDIO

Kutokana na mabadilko ya sera za habari na mawasiliano ambapo vituo binafsi vya radio vimeruhusiwa kuanzishwa, Mji wa Kahama sasa una vituo vitatu (3) vya radio. Vituo hivyo ni Kahama FM, Baloha FM na Divine FM.

MATUMIZI YA MIFUMO

Hadi kufikia Februari 2017 mifumo tumizi mbalimbali ya kisekta/kiidara imefungwa katika Ofisi za Halmashauri ya Mji Kahama  ili kurahisisha utendaji kazi na na kuongeza ufanisi katika utoaji huduma. Mifumo hii ni pamoja na;

Mfumo wa Malipo (Epicor); Mfumo huu hutumika katika kuandaa na kutoa malipo. Mfumo huu umefungwa mwishoni mwa Januari 2017 na  utasaidia sana kupunguza hoja za ukaguzi kwa kiwango kikubwa. Mfumo huu umeunganishwa kwa kutumia mkongo wa Taifa (fibre Optics)

PlanRep (Planning and Reporting) : Huu ni mfumo unaotumika kuandaa Mpango wa Bajeti na Kutoa taarifa. Mfumo huu wa PlanRep hutumiwa na Halmashauri  wakati wa kuandaa bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa.

CDR na CFR--Hii ni mifumo inayotumika kutolea taarifa za miradi ya maendeleo katika ngazi za Mamlaka ya Serikali za Mitaa.

Mfumo wa taarifa za Kiutumishi (HCMIS maarufu kama LAWSON): Huu ni mfumo unaotumika katika mishahara, kwa kutumia mfumo huu, serikali imeondoa tatizo la mishahara hewa, kuchelewa kwa stahili za watumishi n.k.

Mfumo wa Ukusanyaji Mapato (Local Government Revenue Collection Information System): Mfumo huu utumika katika shughuli za ukusanya wa Ushuru na Tozo mbalimbali za Halmashauri kwa Mujibu wa sheria.

Mfumo wa taarifa za Hospitali (Hospital Management Information System- GoT HOMIS): Mfumo huu hutumiwa na Hospitali kwa ajili ya kutunza taarifa za mbalimbali za Hospitali. Mfano, taarifa za Wagonjwa, Malipo, Dawa na Mengineyo. Kwa sasa mfumo huu umefungwa Hospitali ya Mji wa Kahama na Kituo cha Afya Mwenakulima. Maboresho yanaendelea ili uweze kufungwa katika Vituo na Zahanati zote za Halmashauri ya Mji.

HUDUMA YA INTANETI

Huduma ya intaneti Katika Halmashauri ya Mji hutolewa na makampuni mbalimbali. Kampuni ya simu ya TTCL ndiyo inayotoa huduma ya intaneti katika ofisi nyingi za serikali na mashirika. Aidha, makampuni ya simu za mikononi kama Vodacom, Tigo, Airtel na Zantel  na halotel yanatoa huduma muhimu ya intaneti kupitia simu za mikononi na "moderm".

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • INGIA HAPA KUPATA SALARY SLIP YAKO December 12, 2017
  • Muhtasari wa Bajeti ya Halmashauri ya Mji wa Kahama 2018/2019 October 10, 2018
  • Mapato na Mtumizi kufikia Machi 31, 2019 April 15, 2019
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Kila la heri Darasa la Saba

    October 05, 2022
  • PICHA: Bonanza Kahama MC vs Mkalama DC

    September 24, 2022
  • Ofisi mpya ya Kata ya Busoka yazinduliwa, Wadau washiriki ujenzi

    September 23, 2022
  • KARAGWE DC ZIARANI KAHAMA

    September 20, 2022
  • Angalia zote

Video

Maagizo ya Katibu Mkuu Kiongozi kwa Watumishi wa Umma
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Picha Mbalimbali
  • Matukio Mbalimbali
  • Kupata Salary slip
  • Mapato na Matumizi Oktoba -Desemba 2017
  • Taarifa ya Miradi ya Mwaka 2016/2017
  • Zabuni mbalimbali
  • Taarifa kwa umma

Viunganishi vinavyohusiana

  • MFUMO WA KUWASILISHA MALALAMIKO
  • Ajira Serikalini
  • NECTA
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Tovuti ya Ikulu

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Barabara ya Boma, Kahama

    Anuani ya Posta: P.O.Box 472

    Simu: +255 282710032

    Simu: +255719679464

    Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa