Imewekwa: July 3rd, 2019
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Ndg. Anderson Msumba ameridhishwa na kazi zinazofanywa na Shirika lisilo la kiserikali la Farm Concern International ndani ya Halmashauri ya Mji wa Kahama.
...
Imewekwa: July 2nd, 2019
Ofisi ya Rais Idara ya Utawala bora na Maboresho, Uratibu na Udhibiti wa Uadilifu wa Watumishi wa Umma imetoa mafunzo kwa wakuu wa idara na wasaidizi wao wa Halmashauri ya Mji wa Kahama juu ya uratibu...
Imewekwa: June 27th, 2019
Wafanyabiashara wa Soko la Namanga leo wamekaa pamoja na Wajumbe wa kamati ya masoko ya Halmashauri ya Mji wa Kahama kujadili changamoto na kuzitafutia Suluhu.
Kikao hiko kinatarajiwa kuleta mabadi...