IDARA YA MAJI
1.0 UTANGULIZI
Idara ya maji ni moja kati ya Idara na Vitengo 18 za Halmashauri ya Mji wa Kahama na ilianzishwa rasmi Mwaka 2012.
2. Hali ya watumishi
Halmashauri ya Mji wa Kahama katika idara ya maji ina jumla ya watumishi 3 kati ya watumishi 7 wanaohitajika kulingana na mapendekezo ya Wizara ya Maji. Huduma ya maji Kijamii
Na
|
Watumishi/kundi
|
Ngazi ya elimu
|
Idadi
|
1
|
Mhandisi wa maji
|
Degree
|
1
|
2
|
Fundi sanifu
|
Diploma
|
2
|
|
|
Jumla
|
3
|
3.0 HALI YA HUDUMA YA MAJI
Miongozo na sera mbalimbali
Usimamizi na mipango yote ya utoaji wa huduma ya maji kwa wananchi inazingatia misingi muhimu ifuatayo.
3.1 VYANZO VYA MAJI
Halmashauri ya Mji inahudumia Wananchi maji kutoka kwenye vyanzo vya maji ambavyo ni Ziwa Victoria, chemichemi na visima virefu & Virefu.
Hali ya mazingira ya vyanzo vya maji bado ni ya kuridhisha kwani vyanzo vyote bado vinaendelea kutoa maji japokuwa kuna changamoto ya kupungua kwa baadhi ya vyanzo kulingana na mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi.
3.2 SHUGHULI ZA IDARA
Shughuli kuu zinazofanywa na Idara ni kutoa huduma ya Ushauri wa kitaalamu juu ya matumizi ya Maji, kuunda na kusimamia jumuiya za watumiaji Maji (COWSOs). Katika nyajza zifuatazo:.
3.3 MIRADI YA MAJI ILIYOTEKELEZWA NA INAYONDELEA USHIRIKIANO NA WADAU WENGINE WA MAENDELEO
Miradi ya maji ya Vijiji 10 yenye thamani ya Tshs 437Millioni chini ya Programu ya Maji na usafi wa Mazingira Vijijini –RWSSP
Miradi ya Maji iliyojengwa na Wadau Wengine
4.0 MIRADI TARAJIWA
Halmashauri ya Mji wa Kahama kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wa Maji inatarajia kutekeleza miradi ifuatayo:
5.0 USAJILI WA VYOMBO HURU VYA WATUMIAJI MAJI (COWSOs)
Kulingana na sheria mpya ya maji ya mwaka 2009 miradi yote ya maji inabidi iundiwe vyombo huru vya watumiaji maji vitakavyopendekezwa na kukubaliwa na jamii husika kulingana na mwongozo na sheria za maji Na. 12 ya mwaka 2009.
Katika kutekeleza jukumu hilo Halmashauri imesha sajili Jumuiya za watumiaji maji 8 ambazo ni kama ifuatavyo:
Jina la Mradi
|
Jina la Kijiji linalohudumiwa na Mradi
|
Teknolojia inayotumika kusuma
|
Idadi ya vituo
|
Jina la Jumuiya
|
Kagongwa Water Scheme
|
Kagongwa and Iponya
|
Pumping/Electricity and Solar
|
21 |
KAGOIPO
|
Kinaga Water Scheme
|
Kinaga
|
Gravity/ Lake
|
1 |
Kinaga
|
Nduku Water Scheme
|
Nduku
|
Gravity/ Lake
|
3 |
Nduku
|
Nyashimbi Water Scheme
|
Nyashimbi
|
Gravity/ Lake
|
4 |
Nyashimbi
|
Mpera-Isagehe water scheme
|
Mpera, Isagehe and Kidunyashi
|
Pumping/Electricity
|
16 |
MPEISA
|
Ubilimbi Water Scheme
|
Ubilimbi
|
Gravity/ Lake
|
2 |
Ubilimbi
|
Igung'hwa water scheme
|
Igung'hwa
|
Gravity/ Lake
|
1 |
Igung'hwa
|
Magobeko water scheme
|
Magobeko water scheme
|
Gravity/ Lake
|
4 |
Magobeko
|
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa