Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Anamringi Macha mapema leo amefungua kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi ambapo mjadala mkubwa ulikuwa ni kuhusu kuanza kwa Kampeni ya Chanjo ya Surua, Rubella na Polio inayoenda kuanza kutolewa kesho kwenye vituo vyote vya kutolea huduma za afya vya binafsi na vya serikali. Chanjo hii inawahusu watoto kuanzia miezi tisa hadi Chini ya Miaka mitano (Miaka 4 na miezi 11)
Mhe. Macha amewataka wananchi kujitokeza kuwaleta watoto kupata chanjo kwa ajili ya ustawi wa afya zao.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa