Shirika binafsi linalojishughulisha na utaalamu wa mifugo la Ultravet Kanda ya ziwa limeendesha mafunzo ya ufugaji bora wa kuku mjini Kahama. Mafunzo hayo yamehusisha wafugaji na wafanya biashara ya madawa ya mifugo. Mafunzo yamefanyika katika ukumbi wa chuo cha uuguzi wilayani Kahama.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa