• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Habari
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Usafi na Mazingira
    • Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
      • Sheria ndogo za mazingira
      • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Tozo za Leseni za Biashara
    • Fomu
    • Miongozo
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari

Wadau watoa yamoyoni kwenye kikao cha kamati ya Ushauri ya Wilaya "DCC" Kahama

Imewekwa: March 12th, 2018

Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) kimefanyika mapema leo kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kahama huku waalikwa wakifunguka katika kuhoji na kushauri masuala ya maendeleo ya Wilaya. Kubwa lililohojiwa na wadau wengi ni wakala wa barabara mijini na vijijini (TARURA). Imeonekana kuwa watu wengi walikuwa hawaelewi TARURA ni nini na inafanyaje kazi.  Mameneja wa TARURA wa Halmashauri za Kahama wameweza kuelezea kikao majukumu yao na mipango waliojiwekea. 

Kikao kimeongozwa na Mwenyekiti Mhe. Fadhili Nkurlu,  Mkuu wa Wilaya ya Kahama.  Agenda kuu zilikuwa ni 

1. Kupitia utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2017/2018 na mpango wa bajeti 2018/2019 kwa Halmashauri zote 3 za Kahama i.e Ushetu,  Msalala na Kahama Mji.

2. Mpango wa kuwarasimisha wafanyabiashara ndogndogo Wilayani Kahama

3. Umuhimu wa waajiri kutekeleza sheria ya "hifadhi ya mifuko ya jamii" kwa kuwasilisha michango ya watumishi wao kwa wakati.

Wajumbe wa kikao hiki ni Kamati ya Ulinzi na usalama ya Wilaya,  Wakuu wa idara na vitengo Halmashauri zote 3, Waheshimiwa madiwani wa Halmashauri zote 3, viongozi wa taasisi na wadau mbalimbali wa Wilaya.

Matangazo

  • INGIA HAPA KUPATA SALARY SLIP YAKO June 03, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

    May 14, 2025
  • Kanuni za Maadili za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2025

    April 19, 2025
  • Uboreshaji Awamu ya Pili wa Daftari la Mpiga Kura kuanza Mei Mosi

    April 16, 2025
  • Naibu Meya Manispaa ya Kahama ahimiza Ulipaji wa Ankara za Hati

    April 16, 2025
  • Angalia zote

Video

Ufafanuzi wa Mikopo ya Asilimia Kumi Manispaa ya Kahama
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Picha Mbalimbali
  • Matukio Mbalimbali
  • Kupata Salary slip
  • Mapato na Matumizi Oktoba -Desemba 2017
  • Taarifa ya Miradi ya Mwaka 2016/2017
  • Zabuni mbalimbali
  • Taarifa kwa umma

Viunganishi vinavyohusiana

  • MFUMO WA KUWASILISHA MALALAMIKO
  • Ajira Serikalini
  • NECTA
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Tovuti ya Ikulu

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Barabara ya Boma, Kahama

    Anuani ya Posta: P.O.Box 472

    Simu: +255 282710032

    Simu: +255719679464

    Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa