• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Habari
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Usafi na Mazingira
    • Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
      • Sheria ndogo za mazingira
      • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Tozo za Leseni za Biashara
    • Fomu
    • Miongozo
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari

TASAF kufanya zoezi la kuhakiki taarifa za Walengwa wa Mradi wa Kunusuru kaya Maskini

Imewekwa: July 20th, 2020

Maafisa wawezeshaji wa TASAF Halmashauri ya Mji wa Kahama wametakiwa kuwa waadilifu wakati wa zoezi la uhakiki wa Kaya za Wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini  (TASAF) katika utekelezaji  wa kipindi cha pili cha awamu ya tatu ya TASAF.

Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Ndg. Anderson Msumba  wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo na Wawezeshaji  wa TASAF juu  ya  utekelezaji wa Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu ya TASAF .

Msumba amewataka wawezeshaji hao kuwa makini wakati wa mafunzo ili kufanikisha zoezi la uhakiki wa kaya za walengwa wa TASAF   na  kuondoa dhana iliyojengeka kwa jamii ya kuwepo Walengwa hewa.

Aidha, Msumba amewataka wawezeshaji hao ambao ni watumishi wa Umma  kuwa waaminifu na waadilifu wakati wa zoezi hilo. 

Kwa upande wake Mtaalamu wa Mafunzo na Ushirikishwaji kutoka TASAF Makao makuu,Ndg.MERCY MANDAWA amesema wawezeshaji kwenye Halmashuri zote  nchini wamechangia kwa kiasi kikubwa katiks utekelezaji wa TASAF kuwa rahisi ,hivyo ametoa rai kwao kutumia mafunzo hayo kuisaidia jamii kujua kutunza kumbukumbu na kuweka akiba kwa lengo la kujikwamua kutoka hali duni.

Semina hiyo ya kuwajengea uwezo Wawezeshaji wa Halmashauri ya Mji wa Kahama inafanyika  kwa siku mbili kuanzia tarehe 20 hadi 21,Julai 2020.

Matangazo

  • INGIA HAPA KUPATA SALARY SLIP YAKO June 03, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

    May 14, 2025
  • Kanuni za Maadili za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2025

    April 19, 2025
  • Uboreshaji Awamu ya Pili wa Daftari la Mpiga Kura kuanza Mei Mosi

    April 16, 2025
  • Naibu Meya Manispaa ya Kahama ahimiza Ulipaji wa Ankara za Hati

    April 16, 2025
  • Angalia zote

Video

Ufafanuzi wa Mikopo ya Asilimia Kumi Manispaa ya Kahama
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Picha Mbalimbali
  • Matukio Mbalimbali
  • Kupata Salary slip
  • Mapato na Matumizi Oktoba -Desemba 2017
  • Taarifa ya Miradi ya Mwaka 2016/2017
  • Zabuni mbalimbali
  • Taarifa kwa umma

Viunganishi vinavyohusiana

  • MFUMO WA KUWASILISHA MALALAMIKO
  • Ajira Serikalini
  • NECTA
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Tovuti ya Ikulu

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Barabara ya Boma, Kahama

    Anuani ya Posta: P.O.Box 472

    Simu: +255 282710032

    Simu: +255719679464

    Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa