Mpango wa Taifa wa Kupinga Ukatili kwa Wanawake na Watoto "MTAKUWWA" kwa Halmashauri ya Mji wa Kahama umezidi kumarisha Kamati zake baada ya kuwajengea uwezo wajumbe ngazi ya Kata kwa siku mbili kuanzia Jana Tarehe 1 hadi leo Tarehe 2, Oktoba 2019.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa