Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Tellack mapema leo amefanya ziara Wilayani Kahama na kukagua Miradi inayotarajiwa kupitiwa na Mwenge wa uhuru mwaka huu. Akiwa katika ziara hiyo ametoa maelekezo kadhaa ya kuboresha miradi hiyo.
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kuingia Wilayani Kahama Tarehe 8/05/2019 ukitokea Mkoani Geita.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa