MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amewatoa hofu Watumishi juu ya suala la Kikokotoo, kwamba Rais Samia Suluhu Hassan ni msikivu na atalifanyia kazi.
Amebainisha hayo leo Mei 1,2024 kwenye Maadhimisho ya Siku ya wafanyakazi dunia (MEIMOSI) Mkoani Shinyanga yaliyofanyika Kata ya Kakola wilayani Kahama.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa