Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ameipandisha hadhi Halmashauri ya Mji wa Kahama kuwa Manispaa ambapo sasa Kahama Mji itajulikana kama Manispaa ya Kahama.
Rais Magufuli amesema hayo leo Alhamis Januari 28,2021 wakati akizungumza na wananchi wilayani Kahama.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa