Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi yafanya ziara ya Kujifunza Manispaa ya Kahama. Wameingia leo na Wapo kwa Siku mbili lengo likiwa ni kuona namna Manispaa ya Kahama inaendesha na kutekeleza shughuli zake za Maendeleo ikiwemo Uwekezaji na Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa