Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kungu Kadogosa Leo amepata wasaa wa kuzungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani la Mji wa Kahama, kubwa likiwa ni uwezekano wa Kahama kuwa mojawapo ya Wilaya itakayopitiwa na Reli ya Kisasa.
Ndugu Kadogosa amesema kuwa Kahama ina fursa kubwa ya uwekezaji kwani ni kitovu "hub" kwa miji na nchi za jirani.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa