Halmashauri ya Mji Kahama kupitia kitengo cha Ustawi wa Jamiii imejipanga kutokomeza ukatili dhidi ya Wanawake na watoto. Akiseminisha katika kikao cha Kamati ya kulinda haki za wanawake na watoto kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kahama Bw. Abraham ambaye ni afisa ustawi wa jamii amebainisha kuwa changamoto ya ukatili kwa wanawake na watoto bado ni kubwa.
Amesema kuwa elimu dhidi ya jamii ni jambo la kwanza ili watu waweze kubadilika kimtazamo.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa