Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Ummy Mwalimu ameagiza Kata ya Kinaga Halmashauri ya manispaa ya Kahama kuwekwa katika orodha ya Kata za kimkakati zitakazojengewa Vituo vya Afya.
Ameagiza hayo mapema leo alipokuwa anazindua Nyumba ya Walimu kwenye shule ya Msingi Magobeko iliyopo Kata ya Kinaga.
Baadhi ya picha hizi hapa:
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa