Taasisi ya Utafiti wa Kilimo "TARI" leo imeanza mafunzo ya Siku tatu ya Kilimo kwa Maafisa Ugani wote wa Halmashauri za Mkoa wa Shinyanga juu ya uzalishaji wa zao la Dengu, Alizeti na Pamba.
Mafunzo hayo yanafanyika kwenye Ukumbi wa Jengo la Wizara ya Kilimo lililopo kwenye Viwanja vya Nanenane 'Nyakabindi' mkoani Simiyu.
Wakufunzi wa mafunzo haya ni Bi. Isabela Mrema na Bi. Ishika Mshaghulei
Baadhi ya Picha za mafunzo:
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa