Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama Ndg. Anderson Msumba amewataka Wataalamu wa Manispaa hiyo kuhakikisha Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa inakamilika kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa. Ameyasema hayo mapema leo alipokua akikagua Maendeleo ya Miradi ya Ujenzi inayoendelea akiwa na Timu ya Wataalamu wa Manispaa hiyo "CMT".
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa