Kituo cha Afya cha Kinaga kilichopo Kata ya Kinaga kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kahama kimepatiwa gari ya kubebea Wagonjwa "Ambulance" ili kuhakikisha huduma za dharura zinafikiwa kwa wakati. Gari hiyo imekabidhiwa jana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kahama Mhe. Ramadhan Bundala.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa