Kituo cha Afya Kinaga Halmashauri ya Manispaa ya Kahama kinajengwa kwa Kutumia fedha zinazotokana na Tozo za Miamala ya Simu. Milioni Mia tano zimepokelewa kuhakikisha Kituo cha Afya Kinajengwa na kukamilika. Kwasasa jengo la Wagonjwa wa nje (OPD) lishakamilika na linatumika, ujenzi wa majengo mengine unaendelea!
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa