Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeingia Makubaliano na Halmashauri ya Manispaa ya Kahama ili kushirikiana katika Utekelezaji wa Majukumu ya Shirika hilo ikiwa ni pamoja na Kuhakikisha kuna Usalama na Ubora unaohitajika katika Vyakula na Vipodozi vinavyouzwa Nchini.
Makubaliano hayo yamefanyika mapema leo katika Ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga mbele ya Kaimu Katibu Tawala Mkoa, Mhandisi Julius Chambo.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa