Halmashauri ya Mji Kahama yazindua Baraza la Wafanyakazi na kuchagua Viongozi wa baraza hilo. Uzinduzi huo umefanyika leo Tarehe 04/01/2018 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kahama na kushuhudiwa na Viongozi wa vyama vya wafanyakazi ngazi ya Taifa, Kanda na Mkoa.
Waliochaguliwa kuongoza baraza hilo ni Bi. Ashura Hoza -Katibu na Ndg. Edward Kinungu - Katibu msaidizi. Baraza hili lipo chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Anderson D. Msumba - Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kahama.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa