Halmashauri ya Mji Kahama imetoa Mikopo kwa Vikundi vya Wanawake na Vijana Shilingi za Kitanzania Milioni Mia Moja na Saba na Laki Tano (Tsh. 107,500,000). Mikopo hiyo imetolewa leo katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kahama.
Wakati akikabidhi mfano wa hundi kwa vikundi hivyo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kahama Mh. Abel S. Kishushu amewaasa wanufaika hao kuitumia vizuri mikopo hiyo ili waweze kujikwamua katika Maisha.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa