Viongozi wa Mkoa wa Shinyanga wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mhe. Zainab Tellack wamefanya ziara ya kikazi kwenye Ofisi za Mamlaka ya ukanda maalumu wa uwekezaji nchini Tanzania maarufu 'EPZA' iliyopo jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kutafuta fursa za uwekezaji.
Pamoja na mambo mengine Wakiwa EPZA viongozi hao wamejengewa uwezo wa namna ya uendelezaji wa Maeneo ya Viwanda.
Timu ya Uwekezaji ya Halmashauri ya Mji wa Kahama ikiongozwa na Mkurugenzi Anderson Msumba imeshiriki ziara hiyo na kuahidi kuyafanyia kazi yote waliyoyapata.
Baadhi ya Picha hizi hapa chini:
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa