Baraza la Wafanyakazi Halmashauri ya Mji Kahama limepitia na Kushauri rasimu ya Bajeti ya Halmashauri ya 2018/2019. Baraza hilo limefanyika mapema leo katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kahama.
Katika kikao hiko wajumbe ambao ni viongozi wa vyama vya wafanyakazi na Wakuu wa Idara na Vitengo walipata fursa ya Kukosoa na Kushauri rasimu hiyo. Vyama vya wafanyakazi vilivyoshiriki kikao hicho ni pamoja na CWT, TUGHE na TALGWU.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa