Wataalamu wa Halmashauri ya Mji wa Kahama wakioongozwa na Mkurugenzi Anderson Msumba leo wametembelea masoko yaliyopo mjini hapa kwa lengo la kujionea changamoto zinazowakabili wafanyabiashara na hatimaye kuzipatia ufumbuzi.
Hizi ni baadhi ya picha za ziara hiyo.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa