Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Mji Kahama wapewa dondoo za mpango mpya wa TASAF kwa walengwa wake.
Semina hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Halmashauri uliopo Nyihogo Kahama na kufunguliwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kahama Ndg. Timothy Ndanya.
TASAF katika mpango wake wa kunusuru kaya Maskini imekuja na mpango wa kuwaweka walengwa wake katika vikundi vya kuweka na kukopa ili waweze kujijenga kiuchumi.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa