Wafanyabiashara wa Soko la Namanga leo wamekaa pamoja na Wajumbe wa kamati ya masoko ya Halmashauri ya Mji wa Kahama kujadili changamoto na kuzitafutia Suluhu.
Kikao hiko kinatarajiwa kuleta mabadiliko chanya katika mpangilio wa wafanyabiashara wa soko na mazingira ya soko kwa ujumla wake.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa