Mamlaka ya Mbolea Tanzania 'TFRA' mapema leo imekuatana na wadau wa Mbolea Wilayani Kahama na kuzungumza nao. Katika mkutano huo TFRA imetumia fursa hiyo kutoa elimu kwa wadau hao juu ya masuala mazima ya biashara ya Mbolea zikiwemo sheria na kanuni za uendeshaji biashara hiyo nchini.
Mkutano huo umewajumuisha wafanyabiashara wote wa pembejeo za kilimo, Afisa Biashara na Maafisa Kilimo.
Wakitoa maoni baadhi ya Wafanyabiashara hao wameonesha kufurahia mkutano huo kwani unajenga mahusiano baina ya serikali na wadau wake.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa