Ofisi ya Rais Idara ya Utawala bora na Maboresho, Uratibu na Udhibiti wa Uadilifu wa Watumishi wa Umma imetoa mafunzo kwa wakuu wa idara na wasaidizi wao wa Halmashauri ya Mji wa Kahama juu ya uratibu udhibiti wa Uadilifu wa watumishi wa Umma.
Agenda kuu ikiwa ni Mkakakati wa taifa dhidi ya Rushwa na mpango wa utekelezaji awamu ya tatu 2017-2022.
Mafunzo hayo yamefanyika mapema leo kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama.
Baadhi ya picha ya mafunzo hayo hizi hapa chini:
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa