Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama Anderson David Msumba amewakumbusha Uwajibikaji watumishi wa Manispaa hiyo na kuwataka kuwa mstari wa mbele kusimamia maendeleo.
Msumba ameongea na watumishi kwenye kikao kazi kilichofanyika mapema Leo kwenye ukumbi wa Manispaa ya Kahama.
Amewataka watumishi kusimamia haki bila kusahau kanuni na Sheria za kazi.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa