Mkurugenzi wa Elimu - TAMISEMI Ndg. Julius Nestory ameridhishwa na ubora wa miradi inayotekelezwa na Halmashauri ya Mji wa Kahama kupitia fedha za elimu za Kulipa Kutokana na Matokeo (EP4R).
Bw. Nestory amefika Mji wa Kahama mapema leo ikiwa ni ziara yake ya kikazi ya Ufuatiliaji na ukaguzi wa miundombinu ya EP4R na ukamilishaji wa Maboma kwa shule za Sekondari.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa