Timu ya Menejimenti ya Halmashauri ya Manispaa ya Kahama imefanya ziara ya ukaguzi wa Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara Kiwango cha Lami na Mifereji ya Maji ya Mvua zinazotekelezwa chini ya Mradi wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC).
Katika ziara hiyo iliyofanyika Jana tarehe 14/05/292024 Menejimenti imemtaka Mkandarasi Sichuan Road & Bridge Co Ltd kuongeza kasi ya Ujenzi ili aweze kukamilisha Mradi ndani ya muda wa Mkataba.
Muda wa Mkataba wa Mkandarasi ni miezi 15 kuanzia Tarehe 20 Novemba, 2023 anatakiwa kukabidhi Mradi ifikapo Februari 2025.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa