Oktoba 11 ya kila mwaka ni siku iliyopitishwa na Baraza kuu la Umoja wa Mataifa kuwa Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike duniani kote. Kwa Halmashauri ya Mji wa Kahama maadhimisho haya yamefanyika Kata ya Isagehe. Akiongea na umati wa watu waliohudhuria Maadhimisho hayo Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Mhe.Mary J. Manyambo ameiasa jamii kulinda haki za mtoto wa kike.
Kauli mbiu ya Siku ya Mtoto wa Kike mwaka huu inasema "Imarisha uwezo wa mtoto wa kike, tokomeza ukeketaji, Mimba na ndoa za utotoni"
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa