Halmashauri ya Mji Kahama leo imepokea hundi ya Kodi ya Huduma kutoka kwa ACACIA ikiwa ni malipo ya Robo ya pili Oktoba - Desemba 2017.
Acacia imekabidhi hundi ya shilingi milioni 924,881,819.78.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa